Natafuta chuo kizuri kinachotoa mafunzo ya udereva kwa hapa Dar

Midozenj01

JF-Expert Member
Sep 21, 2014
410
385
habari members!
Jamani natafta chuo kizuri kinachotoa mafunzo ya udereva kwa hapa dar tofauti na VETA.
Thanks in Advance
 
Kwanini iwe tofauti na VETA tuanzie hapo kwanza kisha ndo tujue huko kwingine tunafikaje?
 
Back
Top Bottom