Natafuta chuo chochote certificate

Sir M.D.Andrew

JF-Expert Member
Jul 30, 2012
201
37
Ndugu wanaJF nilituma maombi wizara ya afya kwa ajili ya mdogo wangu,lakini mpaka sasa sina uhakika kama kuna lolote wizara ya afya,hivyo mwenye namna ya kunisaidia kupata chuo chochote ama cha binafsi au serikali anijulishe nifanye mawasiliano,lengo langu huyu kijana apate chuo chochote mwaka huu.mwenye kunisaidia atoe majibu:isiwe chuo cha utalii au ualimu
 
Back
Top Bottom