University of Dodoma wanatoaHabari za mda huu wana jamvii
Kama kichwa cha uzi kinavojielezea nilikua naulizia kama kuna anaefahamu chuo chochote cha serekali kinachotoa diploma in phamacy anijuze. Nitangulize shukran za dhat
Natafuta chuo cha serikali
Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by runtown, 39 minutes ago.
Eeeee Mungu wangu yaani unaulizia chuo cha mambo ya madawa halafu uzi uko jukwaa la mapenzi....
kwanini hukuweka jukwaa la elimu?
Nimeona uku hamna wachangiajiNatafuta chuo cha serikali
Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by runtown, 39 minutes ago.
Eeeee Mungu wangu yaani unaulizia chuo cha mambo ya madawa halafu uzi uko jukwaa la mapenzi....
kwanini hukuweka jukwaa la elimu?
WapiNimeona uku hamna wachangiaji
ngoja vichwa vibovu vije....si unataka michango tu??Nimeona uku hamna wachangiaji