kingphisher
Senior Member
- Nov 30, 2024
- 120
- 226
Wakuu, nimejikuta kuwa na passion ya kufundisha kuliko kitu chochote kile yaani.
Ipo hivi, nimesomea IT bachelor pale UDSM nimehitimu mwaka jana. ilivyofika mwezi wa pili mwaka huu, katika harakati ya kutafuta hela za kunibakisha hapa mjini (Dar), nikapata kampuni moja hivi maeneo ya posta. pale wana chuo chao, wanafundisha maswala ya IT na kozi zingine. nilivopereka CV, nilikua naomba kufanya IT related Tasks, lakini wakaniambia department ya IT. (pale wana colllege na Business nyingine). wakanipa kazi ya kufundisha masomo y IT. long and short courses.
Nimekuwa nikifundisha (database, system project management, na web developement)
aisee, hadi sasa nimejikuta kupenda ufundishaji hadi raha. nimejukuta kuwa na confidence ya kuongea mbele ya wanafunzi, english imekuwa kwa kiasi chake, maana pale mara nyingi tunawafundisha watoto wa kihindi, waharabu na wa kitanzania kuanzia certificate hadi diploma.
Sasa hii hali imenifanya nipende sana kufundisha. Japo bado nipo pale, ila nataka nibadilishe mazingira, nipate challenge mpya. Vile vile nikuze CV. nipo available. nicheki mawasiliano (normal and whatsapp call 0687516723. Ni mkazi wa Dar es salaam.