Natafuta CHUMBA

Natafuta CHUMBA

Natafuta chumba maeneo ya Kuanzia ubungo mpk manzese!
Kiko chumba hapa Kimara. Hakina umeme wala ceiling board...maji ya kisima yanapatikana jirani, nyumba ya sita. Ndoo moja shs 700 tu.

Bei 250,000/ kwa mwezi.

Karibu
 
Kiko chumba hapa Kimara. Hakina umeme wala ceiling board...maji ya kisima yanapatikana jirani, nyumba ya sita. Ndoo moja shs 700 tu.

Bei 250,000/ kwa mwezi.

Karibu
Asante ila soma vizuri maelekezo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom