elimuplatform
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,054
- 462
Jamani kila nikikomaa kupata laki tatu nzima kwa ajili ya kodi ya chumba sipati, kiasi nimedata katika mishe mishe zangu kwa mwezi sikosi si chini ya laki naomba msamaria mwema yeyote anisaidie walau sehemu ntakoyokubaliwa nilipe mwezi mwezi au miezi miwili, ili niishi kwa amani, japo ningekuwa na dogo wa chuo muda anaoenda likizo ningejihifadhi na kumlinda kimtindo najua miezi miwili ningejipanga, ila sina dogo, sehemu yeyote japo pakiwa karibu na mbezi tangi bovu siyo mbaya kidaladala kimoja, naomba msaada kwenye tuta