Natafuta chumba na sebule

bic2kn

Member
Feb 18, 2017
76
22
Nahitaji kupanga mwenye nyumba aniite kwa 0657137745 bei isizidi 60 sifa;

-Pawe na wapangaji wasiozid 3
-usafi wa kulizisha
-vyumba vya ndani staki
-parking ya gari/pkpk
Nko dar magomeni lakn nataka popote ktk jj la dar es salamu. Asante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom