Wakuu,
Natafuta chumba kwa niaba ya ndugu yangu ambaye ni mwanafunzi atakuja kufanya kazi maeneo ya kigamboni. Anataka kukodi kwa mwezi mmoja na chumba ni lazima kiwe na kitanda.
Kwanzia tarehe 20 August paka 28 September 2025. Budget ni 120,000 paka 200,000
Kama upo serious ni inbox picha na availability.Asante