Natafuta chumba Kigamboni bajeti 40,000

Natafuta chumba Kigamboni bajeti 40,000

SISIS

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2019
Posts
11,128
Reaction score
3,740
kigamboni isiwe mbali sana na feri bajeti 40,000
 
Njoo nikupe kadi ya kuvukia kwenye pantoni bure, niliinunua lakini mjini hata siendi mara kwa mara.
 
Kigambon Hakuna vyumba vya 40...tena karibu Na feri ndo usahau kabsa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom