Natafuta Chumba/fremu kwa ajili ya Ofisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta Chumba/fremu kwa ajili ya Ofisi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by KGB, Sep 2, 2010.

 1. K

  KGB Member

  #1
  Sep 2, 2010
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  HI ,
  Natafuta Chumba kitakachofaa ya Matumizi ya ofisi kwa ajili ya kukipangisha,Square metre 10 maximum,Office Sharing vile vile inakubalika ila Ustaarabu ni muhimu.

  Maeneo:Mikocheni,Kinondoni,au eneo jingine katikati ya jiji.

  kama kuna mtu anataarifa au anasehemu anaipangisha tafadhali ni email katika email ifuatayo

  kgb.tanzania.company@gmail.com
   
 2. r

  rakeyescarl JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2010
  Joined: Dec 9, 2007
  Messages: 408
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Uko tayari kulipa kiasi gani-maximum na unataka square metre ngapi min?
   
 3. m

  manyusi JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2010
  Joined: Mar 3, 2009
  Messages: 274
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Unaweza pata pale Mbezi beach park building,Mbezi Tangi bovu opposite na Kanisa la kilutheri
   
 4. K

  KGB Member

  #4
  Sep 6, 2010
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Maximum square metres Zinazotakiwa ni 36 minimum 10.
  budget amount inategemea na eneo Husika.
   
Loading...