toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,607
- 4,766
WAKUU NAHITAJI CHUMBA
AU MWENYE ANAPANGISHA VYUMBA MAENEO HAYA TAFADHALI
AU HATA
-Anayejua chumba maeneo ya Mabibo hostel, Sinza, Changanyikeni,Survey,Makongo juu,Ubungo External, Mwenge na River Side.
Budget yangu ni 40k 45 au 50k kwa mwezi...
Ningepata penye wapangaji wasiozidi wanne ningefurahi pia
Hata kama ningepata dalali poa tu ningempooza kidogo
Nichek kwa namba 0759 432 654 sms,watssap pia
Nitashukuru sana
Natanguliza shukurani