Natafuta Chumba cha kuweka Studio ya Muziki Dsm

American nigga

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
902
Reaction score
1,544
Habari, Natafuta chumba cha kuweka studio ya Muziki, Chumba kiwepo Magomeni au Kinondoni, Budget yangu ni 70000 kwa mwezi, Chumba kiwe mahali penye usalama na pasipo na Kelele nyingi. Kisiwe kimechoka.
Kwa mawasiliano Unaweza kuniPM
 
mkuu mimi ni mpiganaji..

ndio mmiliki wa tshirt garage mabibo hostel kama una insta cheki..

ndio mmiliki wa photo studio mabibo hostel..

nina goals za kufungua advertising agency na mojawapo ya goals ni kununua basic equipments za audio production..

kama uko full na una vifaaa... tunaweza fanya kazi pamoja.. mimi nitakupa room Ubungo near mabibo hostel kwenye secured house..

karibu
 
Mkuu, nitafute mimi ni tajiri wa ideas, seriously nitatoa mawazo ukiona tufanye wote poah..!
 

Mimi ninayo Full Production studio ya Audio na Video!! nicheki tuyajenge mzee 0658644485
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…