Trice Sturmius
Member
- Sep 8, 2011
- 41
- 3
Natafuta chumba cha kupanga
maeneo ya sayansi mpaka Morroco, Sinza au Mikocheni.
sifa za chumba ni:-
1. Iwe chumba na sebule self
contained na jiko, maji na umeme.
2. Ndani ya fensi
3. Pawe na uwezo wa kufika gari
mpaka kwenye nyumba
4. Karibu na barabara na usalama
uwepo.
Mwenye kujua chochote ani PM
tutawasiliana. Hata sehem ingine
yeyote ya barabara hiyo ili mradi iwe
nzuri na karibu na barabara.
maeneo ya sayansi mpaka Morroco, Sinza au Mikocheni.
sifa za chumba ni:-
1. Iwe chumba na sebule self
contained na jiko, maji na umeme.
2. Ndani ya fensi
3. Pawe na uwezo wa kufika gari
mpaka kwenye nyumba
4. Karibu na barabara na usalama
uwepo.
Mwenye kujua chochote ani PM
tutawasiliana. Hata sehem ingine
yeyote ya barabara hiyo ili mradi iwe
nzuri na karibu na barabara.