Zombie S2KIZZY
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 825
- 1,627
Natafuta chumba Cha kupanga maeneo ya boko basihaya, chasimba, tegeta dawasco na maeneo ya karibu na hapo.
Nataka Cha 40k au 50k
Nataka Cha 40k au 50k
Au sioUnataka uikimbie posho ya dalali?
Unataka uikimbie posho ya dalali?


muelekeze jamaa chumba kilipo mkuuNitamwelekeza ila anilipe hata ya maji 😀muelekeze jamaa chumba kilipo mkuu
Nitamwelekeza ila anilipe hata ya maji![]()

hutaki akwepe posho ya dalaliAsilete janja janja hapa alipolala yeye ndio tulipoamkia 😅hutaki akwepe posho ya dalali