Natafuta chumba cha kupanga tanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta chumba cha kupanga tanga

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Madoido, Mar 23, 2012.

 1. M

  Madoido Senior Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hello wana JF WENZANGU!

  JAMANI MWENZENU NATAFUTA CHUMBA TANGA MJINI, NA ISIWE MAENEO YA CHUMBAGENI...KAMA KIKIWA SAFECONTAINED NTAFURAHI ZAIDI. NISHAPEWA NOTISI INAISHA MWISHONI MWA MWEZI HUU MARCH

  TAFADHALI NI PM HUMU HUMU JAMVINI
   
 2. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  huh........Tanga kwa jinsi ilivo old sidhani kwa haraka hii utapata selfcontained njoo barabara 15 nikuhifadhi.
   
Loading...