mjini kidogo hakuna gharama ya nauli ila ukikaa haya maeneo jiandae na 800-1200 ya nauli + 1000 ya bodaboda haya maeneo chamwino,kihonda,lukobe,bigwa,mazimbu,makunganya,mkundi,,,,,.... tupo hapa kukupa mwanga na maeneo mazuli ya kukaa ambayo hata kipindi cha mvua utakaa kwa amani
ahaaa na hata ukitaka hints za viwanja vya kula bata pale unapopiga mamilion yako uko ofisi usisite kunitafuta ni watoto wakali na beer lain dahh nimekumbuka haya maeneo airportclasic na samak samak nyumbani park..Pamoja mkuu kwa hints kadhaa za mji wenu
ahaaa mkuu mlevi tena haya ni pm namba yake tusaidie wageni..
yah ndo ukweli dalali atakupiga kwa tamaa ya ela tu lakin hapa jf naongea ukweli shida haina mwenyew leo kwako kesho kwangu.....Ni kweli mkuu maana nackia kuna maeneo kuna titia sana wakat wa mvua huwez toka na gari lazma ukwame
ahaaa na hata ukitaka hints za viwanja vya kula bata pale unapopiga mamilion yako uko ofisi usisite kunitafuta ni watoto wakali na beer lain dahh nimekumbuka haya maeneo airportclasic na samak samak nyumbani park..
makubwa hayo huyu kijana mwenzetu tumsaidie huyu dalali mhhhhhahahaha km unakaa mjin utamfaham anaishi boma rd asbh saa 1 amelewa hatari ila sasa cha kuchosha wenye pesa ndo dalali wao anaatumika sana na kina abood! na mapombe yake hayo hayo ana nyumba na maviwanja hatari ila ndo hajielewag!hubby akirud nitampa namba
kwa sababu unakaa forest na hv ni viwanja vya kihonda inakuwa tabu kufika kweli pale pana malaya wengii sanahahahha kwa ubora wako mamy!una guts sana za kukaa samaki samaki! mie napaona pakiwindaji eti??au ushamba! binafs ht ningekuwa alone pale pagumu jaman!mie jiwe langu black n whte au moro hotel basi! tena kwa nadra sanaaa!
yah bata tamu wew ata savoy kwa wazee na uko nashera sometime kuogelea ahaahahahha kwa ubora wako mamy!una guts sana za kukaa samaki samaki! mie napaona pakiwindaji eti??au ushamba! binafs ht ningekuwa alone pale pagumu jaman!mie jiwe langu black n whte au moro hotel basi! tena kwa nadra sanaaa!
hahahaha km unakaa mjin utamfaham anaishi boma rd asbh saa 1 amelewa hatari ila sasa cha kuchosha wenye pesa ndo dalali wao anaatumika sana na kina abood! na mapombe yake hayo hayo ana nyumba na maviwanja hatari ila ndo hajielewag!hubby akirud nitampa namba
hahahaha km unakaa mjin utamfaham anaishi boma rd asbh saa 1 amelewa hatari ila sasa cha kuchosha wenye pesa ndo dalali wao anaatumika sana na kina abood! na mapombe yake hayo hayo ana nyumba na maviwanja hatari ila ndo hajielewag!hubby akirud nitampa namba
Ningekuwepo mjini usingepata shida ungekuja hata kupumzika home huku ukifanya taratibu za kutafuta nyumba,Kwa maelezo yako wewe eneo la misufini linakufaa sana,kwanza karibu sana na mjini,maji sitatizo na usalama ni mkubwa,unaweza kwenda mjini hata saa 8 za usiku tena kwa mguu. Kama nikapata namba ya dalali mmoja nitakutumia,
makubwa hayo huyu kijana mwenzetu tumsaidie huyu dalali mhhhh
mkuu samahani naomba edit mideko na iwe modeko...mideko sio uswaz ww acha ujingabwako na forest uko unapopasema huwez kupata nyumba ya 150 ww kwa mwez
Ukipata Self Modeko, nenda kaishi huko. Nilipapenda kwa kuwa hakuna shida ya Maji na umeme. Niliishi miaka 2 bila shida.mhhh modeko??sikufaham lakin nahis ni uswaz mby
huyu wangu tamaa ya hela nilishuhudia nyumba ya mzee akiwafanyia maajabu wapangaj m nilbaki kupewa 10% ahaaa nouma sanakama unayo msaidie! niachane na huyu' mlefi'
Huyo jamaa hawez nipeleka baa tukapiga ulabu mpaka hela ya pango??? ( jocking)