H HIRAMA Member Jun 26, 2012 10 4 Nov 29, 2013 #1 Mimi ni mfanyakazi wa kampun flan hapa Sinza-Lion, kwa hiyo natafuta chumba kimoja cha kuishi maeneo karibu na kazini kwangu. Kwa hiyo wapangishaji wa vyumba au yeyote atakayeweza kunifanikishia hilo ajitokeze.
Mimi ni mfanyakazi wa kampun flan hapa Sinza-Lion, kwa hiyo natafuta chumba kimoja cha kuishi maeneo karibu na kazini kwangu. Kwa hiyo wapangishaji wa vyumba au yeyote atakayeweza kunifanikishia hilo ajitokeze.
Kimbakuli JF-Expert Member Jul 11, 2013 405 427 Nov 30, 2013 #2 Mkuu una familia? then unataka chumba ambacho kina-range kwenye kodi ya tsh ngapi? call me-0753206165
Mkuu una familia? then unataka chumba ambacho kina-range kwenye kodi ya tsh ngapi? call me-0753206165
H HIRAMA Member Jun 26, 2012 10 4 Nov 30, 2013 Thread starter #3 Ndio nina familia, nahitaji chumba kisichozidi kodi ya Tsh. 50,000/= kwa mwezi.
M mkuu mwenyewe Member Nov 23, 2013 22 1 Nov 30, 2013 #4 mambo vip mkuu? mi naishi hapa near lion.check na madalali wako hapo kijiweni....
H HIRAMA Member Jun 26, 2012 10 4 Dec 1, 2013 Thread starter #6 HIRAMA said: Ndio nina familia, nahitaji chumba kisichozidi kodi ya Tsh. 50,000/= kwa mwezi. Click to expand... nashkuru mkuu
HIRAMA said: Ndio nina familia, nahitaji chumba kisichozidi kodi ya Tsh. 50,000/= kwa mwezi. Click to expand... nashkuru mkuu
H HIRAMA Member Jun 26, 2012 10 4 Dec 1, 2013 Thread starter #7 mkuu mwenyewe said: mambo vip mkuu? mi naishi hapa near lion.check na madalali wako hapo kijiweni.... Click to expand... nashkuru mkuu
mkuu mwenyewe said: mambo vip mkuu? mi naishi hapa near lion.check na madalali wako hapo kijiweni.... Click to expand... nashkuru mkuu
W Waambi JF-Expert Member Dec 4, 2012 737 81 Dec 1, 2013 #8 Jamani wapi kuna chumba 1 kodi 180.000/- miezi 6?!
Tyta JF-Expert Member May 21, 2011 12,767 10,526 Dec 1, 2013 #9 Waambi said: Jamani wapi kuna chumba 1 kodi 180.000/- miezi 6?! Click to expand... uswahilini.....
tofali JF-Expert Member Mar 27, 2013 4,010 3,405 Dec 1, 2013 #10 Diver said: Hakuna chumba cha elfu 50 sinza labda tandale Click to expand... Acha hizo..kuna mtu alikua anakaa madukani ni 60
Diver said: Hakuna chumba cha elfu 50 sinza labda tandale Click to expand... Acha hizo..kuna mtu alikua anakaa madukani ni 60