Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Sinza-Kijiweni au Sinza-Lion

HIRAMA

Member
Jun 26, 2012
10
4
Mimi ni mfanyakazi wa kampun flan hapa Sinza-Lion, kwa hiyo natafuta chumba kimoja cha kuishi maeneo karibu na kazini kwangu. Kwa hiyo wapangishaji wa vyumba au yeyote atakayeweza kunifanikishia hilo ajitokeze.
 
Mkuu una familia? then unataka chumba ambacho kina-range kwenye kodi ya tsh ngapi? call me-0753206165
 
Ndio nina familia, nahitaji chumba kisichozidi kodi ya Tsh. 50,000/= kwa mwezi.
 
Jamani wapi kuna chumba 1 kodi 180.000/- miezi 6?!

uswahilini.....
images
images

images
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom