Kwa bei hiyo hata uende mashineni, huko kwenye michele ya kumwaga huwezi kupata kwa bei hiyo kamwe, kwa soko la sasa, labda una hitaji ile poda!!Wakuu natafuta chenga za mchele kwa bei nafuu kilo sh500 na kwa debe ni sh 10000 na gunia lenye debe 6 ndani kwa sh 60000, uwe Gairo au Moro itapendeza, hii ni kurahisisha usafiri.