Natafuta Car Wash Machine

Natafuta Car Wash Machine

EJM_

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
3,836
Reaction score
2,119
Tafadhalini mwenye nayo mwenye kujua zinakopatikana anifahamishe. Kama atanitajia na bei zake itakuwa vyema zaidi. Natanguliza shukrani
 
Nashukuru kwa hilo kaka, ila siko Dar es salaam maybe mpaka nikija huko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom