Pls Visit Senga Company along Jamhuri street/Chaga street chini ya holiday Inn hapo wanauza debranded canons from uk etcWadau natumai mpo fit, nataka kumfungua kaofisi kadogo shida yangu ni Photocopy ya Canon IR 2018, kuna mdau anaweza nielekeza mahali nitapata kwa bei nzuri? naomba bei ya mpya na used, asanteni
Pls Visit Senga Company along Jamhuri street/Chaga street chini ya holiday Inn hapo wanauza debranded canons from uk etc
Wadau natumai mpo fit, nataka kumfungua kaofisi kadogo shida yangu ni Photocopy ya Canon IR 2018, kuna mdau anaweza nielekeza mahali nitapata kwa bei nzuri? naomba bei ya mpya na used, asanteni
Me ninavyojua 2018 zimekuwa adimu kidogo,nyingi kwa sasa ni IR 2318 na bei zake wengine wanauza 2 mill,wengine 1.5 ni wewe tu na speed yako ya kuzunguka.
Nenda Kwa Benson, Arusha Card au JR nafikiri unaweza kupata japo bei yake itakuwa inaanzia mil 2
Wadau natumai mpo fit, nataka kumfungua kaofisi kadogo shida yangu ni Photocopy ya Canon IR 2018, kuna mdau anaweza nielekeza mahali nitapata kwa bei nzuri? naomba bei ya mpya na used, asanteni