Camera yangu Samsung NX1000 lense yake size 28 - 50mm imepata shida, na sitaweza kuitumia tena. Natafuta lense nyingine. Iwe size yoyote, iwe kit lense au prime lense. Cha msingi ni maelewano ya bei. Kama una lense inayo-fit camera hiyo, naomba tuwasiliane PM. Asanteni sana.