EE BWANA mimi ni mfugaji wa kuku kibamba [kuku wa mayai] nahitaji cages kwa ajili ya kuku wangu [2500]. ningependa kujua nitapata cage wapi na kwa bei gani hapa Dar hata nikipata mafundi bora wa kutengeneza hizo cages kwa ubora na viwango nitashukuru sana.
KWA PAMOJA TUIJENGA TANZANIA MPYA....
KWA PAMOJA TUIJENGA TANZANIA MPYA....