Globu
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,093
- 2,604
Kuna kijana mmoja alikuwa yuko bize kusoma, bibi yake akamuuliza 'mbona unahangaika hivyo mjukuu wangu' kijana kajibu 'natafuta C moja tu bibi niingie form five' Bibi akadakia...Si uende branch ya CCM zipo mbili tena unapata tabu bure mjukuu wangu!!!