Natafuta business partners kwenye microfinance company

Changamoto2015

JF-Expert Member
Oct 1, 2012
773
314
Nahitaji watu wa aina mbili; wale wenye uzoefu kwa ajili ya ajira na wale wenye nia ya kuingia kama investors. Wenye nia ya kuingia kama investors nahitaji kama watu watano tu.

Kama una uzoefu na nia thabiti ya kuunganisha nguvu kwenye utoaji wa mikopo midogo midogo ( microlending) kwa vikundi na unaishi Dar es Salaam tafadhali ni pm ili tuweze kupanga mikakati kwa pamoja.
 
Back
Top Bottom