nita outsource kwa marketers wa nje, ila i work over 12 hrs. i guess 30mins mara tatu kwa wiki itatosha. Natumia BH/GH ambazo zinahitaji muda mwanzoni kutokana na ugumu.Kutengeneza apps mbili kila mwezi na muda wa kuifanyia marketing hizo apps unapataje?
Kama unafanya hivyo, ww sasa upo serious na kiukweli iOS kuna biashara na sio android. Naplan kuhamia huko.Kutengeneza apps mbili kila mwezi na muda wa kuifanyia marketing hizo apps unapataje?
nina uhakika optimization ya app haichukui muda kama ya tovuti, na ni njia rahisi mbadala. Kama una ujuzi, unaweza ku-save sana. Mfano, mtu anayelipia adsense au anawalipa influencers wa social media hela nyingi itamtoka. Ila soko la bongo, kwenye optimization halijawa saturated. Kwahiyo, inaweza isiwe shida kama unatafuta soko la ndani au Afrika. Ila kama ni worldwide, lazima uweke nguvu za ziada za kusogeza apps zako kwenye rankings.Kama unafanya hivyo, ww sasa upo serious na kiukweli iOS kuna biashara na sio android. Naplan kuhamia huko.
N kweli ASO na SEO kibongo bongo sio kiivyo, na kuna niches nyingi sana ambazo developer anaweza fanyia implementation.nina uhakika optimization ya app haichukui muda kama ya tovuti, na ni njia rahisi mbadala. Kama una ujuzi, unaweza ku-save sana. Mfano, mtu anayelipia adsense au anawalipa influencers wa social media hela nyingi itamtoka. Ila soko la bongo, kwenye optimization halijawa saturated. Kwahiyo, inaweza isiwe shida kama unatafuta soko la ndani au Afrika. Ila kama ni worldwide, lazima uweke nguvu za ziada za kusogeza apps zako kwenye rankings.
Ni kweli, na percent umepatia kabisa mkuu. Margins zake ni hizo ukiwa ume-download. Ila kabla ya apps, bora ufanyie SEO huko kwenye makampuni ya mbele. Uwe na traffic ya hot niches, say "buy a house in manhattan" imagine CPC yake ya Adwords, na imagine kama optimizer ukaweza ku-compete nao. Hata ukipata clicks 10, your revenue kama you do Ads, itakuwa around $30. Kwa siku una survive walau.N kweli ASO na SEO kibongo bongo sio kiivyo, na kuna niches nyingi sana ambazo developer anaweza fanyia implementation.
Ila kama target ni tz kwenye revenues utategemea ads kwa kiasi kikubwa tu kitu ambacho mi naona sio.
Kwa sababu utalazimika apps iwe na downloads ya kutosha kuongeza kipato.
Lakini kama audience ni ya developed countries huwezi kosa watu (3%) wa kulipia apps yako.
Kama apps in 1000 downloads uwezekano wa kupata watu 30 wa kulipia unakuwepo.