Natafuta Business partner

Natafuta Business partner

judey

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2021
Posts
454
Reaction score
541
Husika na kichwa Cha habar hapo juu , natafuta mtu wa kufanya nae KAZI ya usafi majumbani, maofisi (awe kama mmoja wa mliki)Nina kampuni ndogo ya usafi ambayo nimesajili brela na inafanya kazi

Vigezo vinavyohitajika
1 awe kijana wa kiume au wakike
2 mchapakazi na Mwenye maono positive
3 awe tayari kuchangia kiasi Cha pesa kama partner

Kwa ambaye kijana Mwenye Nia ya dhatii karibu tufanye kazii Niko dar es salaam , temeke uhasibu

Mimi ni mwanachuo was chuo Cha uhasibu nasoma marketing
Mawasiliano 0626456047

Never give up!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom