Natafuta Brevis A250, kwa 8mil

Natafuta Brevis A250, kwa 8mil

muwe mnaona na aibu..
toyota-brevis-ai250-2-5-200-ps-2001-8211-carscloud_5.jpg
hata bajaji siku hizi ziko zenyehivyo ndani, usidanganywe na mapambo. Brevis ni cc 2500 mpaka 3000, na kwa jiji kama la Dar ni jini lisilosemeka. Linakosa sifa zote za 3E. Ndo maana nakwambia watanitafuta tu. Wengi wenye nayo ni wateja wa Magufuli.
 
It is just a matter of time, nyingi zimepakiwa baada ya magufuli kuwachomoa kwenye madili. Am Serious.

Tatizo una dharau sana wakati kama una hizo hela kwanini usiende showroom kabisa?

Watakuja tu. Ngoja Benk na Baba mwenye nyumba waanza kudai chao. Wenyewe watanitafuta. No shaka, Cash is King..

Kwako mwenyewe ishakuwa King maana umeshindwa enda showroom sababu hela haitoshi

Zipo kibao. Is just a matter of time.

Utauziwa mbuzi kwenye gunia

Passo sasa hivi za mkononi zenye nmba D hazizidi 4mil. Ukiuziwa zaid ya hapo umepigwa

Ukute hata hiyo passi hauna wala hakuna mwenye nayo ukoo wenu acha dharau

hata bajaji siku hizi ziko zenyehivyo ndani, usidanganywe na mapambo. Brevis ni cc 2500 mpaka 3000, na kwa jiji kama la Dar ni jini lisilosemeka. Linakosa sifa zote za 3E. Ndo maana nakwambia watanitafuta tu. Wengi wenye nayo ni wateja wa Magufuli.

Haya we kama unadhani uazo hizo hela kanini hutaki enda showroom kabisa ?
 
HAKUNA Mnunuzi Hapo!! MTEJA Wenyewe Nyodo Kibao, Huku Pesa Yenyewe Ni Ya Mawazo!!! BEI Ya Million 8 Na Conditions Hizo, Labda Aende Showroom Tu!!! Au Aagize Wenyewe Toka Japan!!
Ukikosa hela ni taabu sana mkubwa! Wakuja ndivyo walivyo.
 
Brevis A 250 namba CGC kwa 7.5 mil kama mtu yupo serious pm
 
Hapa tutakashifu sana, japo hatuna gari inayotafutwa. Na hata kama tunayo hatuuzi. Jaribu kuuza gari yako sasa uone utapata mteja wa bei gani. Kuna wakati mnunuzi anaweza panga bei.
 
Wa2 wanaponda2 ila ukweli utapata2 maake shida hazilingani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom