Natafuta Boyfriend seriously

mbona hukutaja mahanjamu. vyote anaweza kuwa navyo ila akawa bwabwa tu , mimi zote sifa sina ila nina mahanjamu ya hatari vipi sifai
 
Haya kila la kheri bi mkubwa nakumbuka muda si mrefu nimekukaribisha jamvini kule getini...kumbe ujio wako ni kwa jambo jema!!!
Jembe lambe langu nakuaminia kumbe ulikuwa man gate ukisubiria wanaokuja na mabegi chuo uwaonyeshe msalaani!!
 
sasa dini inahusiana nini na uzinzi wako??? wewe shida yako si kuzini yaani upate boyfriend ili mzini right,, ingekuwa mchumba sawa dini muhimu lakini zinaa aka uzinzi dini hapo kigezo umechemka dada angu
Huwezi jua labda na yeye anahitaji kuomba (kupiga sala kabla ya kufanya tendo la kula papuchi kama wanandoa wengine wanavyofanya humu jamvini.
 
mmmhhh wewe ni mwanamke kweli?? mbona maelezo yako yanatia shaka
 
Dada hauna haja ya kwenda mbali kwan kutokana na vgezo ulivyo andika hum nahc utakuwa mke mwema plz nakuhtaji sana , am 27 years and am single nakuhtaj sana uje kunitoa huu upweke nilionao, am university student na nimemaliza 4m 6 umbwe 2012, naomba unitafute 0757347624. Npo serious plz.
 
vip ushapata hitaji lako kama bado nipm kwasasa niko dsm naelekea sudan kusin ndiko makazi yangu kama vip twende zetu
 
Makaz yangu nipo USA bt nimekuja likizo nyumban kutafuta mke,pia nina vigezo vyote km vp let's go!
 
vp umeshapata?

wengine tanafuatilia mrejesho tu humu ,sifa wala hatuna kwakweli.
 
Wakati unamsubiria The right person unaweza ukawa na mimi temporarly
 
Mpira uliokufa huo!wapi ma forward butu!!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…