Natafuta Boyfriend seriously

wanaume wapo wengi wanaonitaka na ninaoweza kuwa nao kama nikiwakubali, lakini nataka mwenye sifa hizo, cause nitaweza kudumu naye zaidi, big thing sipendi mlevi too much

Ivi kweli kwa sifa zote uloweka utapata kweli
sijui ukimpata utwambie mana duuuuuu umetisha bi-dada
 
Ingekuwa saafi zaidi ka ungesema na sifa zako mana unachagua sana
 
uboyfriend wa miaka mingapi?aseme anatafuta mume
Na kwa sie watumishi wa mungu huwa kwenye maombi tunasisitiza watu waombe kupata mke au mume maana ukiomba kupata mchumba au boy friend au girl friend watakuja wengi alafu mwisho wa siku wanaweza kuponyoka
 
Jamani, acheni tu nichague, cause nimechoka walevi, matapeli, vicheche,majambazi na waume za watu, sitaki kufuatwa fuatwa na wanaume wa ajabu
 
kwa kweli vigezo kwa mda wa kurudi home ni saa 9 ucku nkitoka katika pombe,napita tuuh apaa.
 
sasa dini inahusiana nini na uzinzi wako??? wewe shida yako si kuzini yaani upate boyfriend ili mzini right,, ingekuwa mchumba sawa dini muhimu lakini zinaa aka uzinzi dini hapo kigezo umechemka dada angu
Wewe ndio mzinzi, usifikiri kila mtu ana wazimu wa ngonongono kama wewe, wengine tunaweza kukaa for years bila kusex
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…