Natafuta Boyfriend seriously

Unamtaka malaika na unamtafuta motoni, pole aisee.. Kamtafute mbingun mwanaume wa hvyo

Sent from nilipo
 
Mammy22

Kwanza bora nikupe hongera kwa choice yako unaonekana una very good taste ya boyfreinds

Mpenzi unayemtafuta ana sifa za kugombea uraisi 2015

lakini penzi lako lina ubaguzi wa kikabila na kidini na kimadhehebu, ingawaje kuchangia kwangu sio tiketi ya ugombeaji wa penzi lako, mimi si mzinifu kabisa, lakini hao wanaopenda kuzini watakuwa wanahisi umewatenga kwa sehemu wanazotoka na kanisa wanalosikilizia mawaidha au dini zao
 

nitafute : jangakuu@yahoo.com
 
nilikuwa interested na hii mambo tatizo kuna mwana ccm mmoja alinichefua nika react nikala ban,nimekuja kivingine cjui nafasi kama bado ipo
 
Sihitaji kujisifu hata siku moja, always nasema Mi ni wa kawaida tu
 
pole, lakini nina reasons za kutafuta mtu wa aina hiyo, ila niko ok na aina yoyote ya watu katika jamii
 
Muonekano wangu ni wa kawaida, ukitaka kuniona fast, tutachat skype
 
biashara matangazo ila tangazo halijakamilika, weka picha hata uweke si yako utapata tu mdada yangu
 
We acha ubaguzi wa dini,mahali,rangi ndo utapa mwanaume
kama unabisha fanya uo ubaguzi afu uone matokeo
 
We acha ubaguzi wa dini,mahali,rangi ndo utapa mwanaume
kama unabisha fanya uo ubaguzi afu uone matokeo

wanaume wapo wengi wanaonitaka na ninaoweza kuwa nao kama nikiwakubali, lakini nataka mwenye sifa hizo, cause nitaweza kudumu naye zaidi, big thing sipendi mlevi too much
 
Umenigusa tafadhari nipe contact very serious

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
Weka picha? Ama una sura mbayaaaaaaaaa? Weka picha binti tuone mgongo .

Atakutumia dedication ya wimbo wa Mbaraka Mwishehe wa "tabia njema ni silaha" ili ukuteke akili usianze kuuliza mambo ya sura
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…