Kwa mfano, ni bora uwe single/ uishi maisha yako ya kawaida or uolewe na mtu muishi maisha ya kawaida kuliko kuolewa na mwanaume mfano mfanyabiashara mwenye maisha ya juu ambaye kwenye mambo yake ya kibiashara ni mtu wakudhulumu sana wenzie, huyo hafai, atailetea familia matatizo na kuwaingiza kwenye beef zake na wengine.
Endelea kutafuta.
Nalog off
kuna katapeli kanaitwa kipololo sijui yan kua makini nakoNo, sitafuti Mume now, natafuta Boyfriend, sikurupuki kusema Mume cause sifiirii kuoana naye so fast, nataka tukae muda wa kutosha kusomana.
Hizo sifa kiboko, kujishaua ni kufanyeje?