FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,521
- 46,606
Mwenye hiyo pikipiki used (Isizidi mwaka) aniambie kama naweza kuinunua kwa 1.5M. Nahitaji sana kwa sasa..
Badilisha heading isomeke pikipiki boxer na kiwango cha bei ongezea masifuri badala ya 1500. Bila hivo ni upuuzi na watu watapuuzia na kukupuuza mleta mada.Mwenye hiyo pikipiki used (Isizidi mwaka) aniambie kama naweza kuinunua kwa 1.5M. Nahitaji sana kwa sasa..
Kwa hiyo unayo au huna sasa..?!Badilisha heading isomeke pikipiki boxer na kiwango cha bei ongezea masifuri badala ya 1500. Bila hivo ni upuuzi na watu watapuuzia na kukupuuza mleta mada.
u mean chipset.., hell no..! natafuta pikipiki..Mkuu nikajua unatafuta chipu
Nilivyoona bei kwenye heading ni 1,500 na mimi nikajua anaulizia pichu!!Mkuu nikajua unatafuta chipu
Ya 1500 kanunue karume, ilala boma au tandika ila nilisikia wamepiga marufuku kuuza nguo za ndani za mitumba sijui labda watumiaji wakusaidie kama bado zipo ama wakuuzie wanazotumia.Kwa hiyo unayo au huna sasa..?!
Mi natafuta Boxer jamani.., ile BM 150 ya kihindi.., mbona mankuwa wagumu sana kuelewa..?!Nilivyoona bei kwenye heading ni 1,500 na mimi nikajua anaulizia pichu!!
Inaonekana mdau hayupo serious.
Tatizo ni namna ulivyoiweka heading yako, imeonekana kama unatafuta mavyupi yaliyovaliwa na jamaa huko majuu na baadaye ndiyo yakaletwa huku kwetu,yakiwa mbende mbende kiasi yakiwa hayafai kabisa kwa matumizi ya binadamu!Mi natafuta Boxer jamani.., ile BM 150 ya kihindi.., mbona mankuwa wagumu sana kuelewa..?!
Nilivyoona bei kwenye heading ni 1,500 na mimi nikajua anaulizia pichu!!
Inaonekana mdau hayupo serious.
u mean chipset.., hell no..! natafuta pikipiki..
Mwenye hiyo pikipiki used (Isizidi mwaka) aniambie kama naweza kuinunua kwa 1.5M. Nahitaji sana kwa sasa..