Robin Van Mysterio
Senior Member
- Jul 24, 2014
- 102
- 15
daah ngoja nkaifue boxer yangu nije nikuuzie...
Mwenye hiyo pikipiki used (Isizidi mwaka) aniambie kama naweza kuinunua kwa 1.5M. Nahitaji sana kwa sasa..
1.6M.., ni ya wizi au.., niambie hilo duka lipo wapi niende fasta..!Mbona waweza pata mpya kabisa hata kwa 1.6m tuu
1.6M.., ni ya wizi au.., niambie hilo duka lipo wapi niende fasta..!
Mkuu nikajua unatafuta chipu