Natafuta blender zisizotumia umeme

Natafuta blender zisizotumia umeme

riba

Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
23
Reaction score
13
Wakuu natumai ni wazima wa afya njema. ..

Natafuta blender ZISIZO TUMIA UMEME (mannual blender)
Naomba kujua bei yake pamoja na uwezo wake wa kufanya kazi...ukilinganisha na blender za umeme (electric blender )

Msaada wenu wakuu
 
Zipo mkuu unazungusha kwa mkono only 35 shilling or 30 unawe ukapata
 
Kwa dar sijui mkuu but arusha zipo nyingi sana
 
Back
Top Bottom