Rudia andiko Kwa utulivu, bikla unaitaj za maskio au MalindaπNi wakati sasa wa kuoa nimeona nitoe taarifa na humu oengine wapi au kuna watu mnawajua wenye sifa hizo nili hatimae na mimi nipate mke.
Sifa zangu;
Mrefu wa wastan na mwembamba
Awe muislam
Businessman (apex. 4 mil/month)
Umri 26 years
Elimu; Form six
Location ; Mbeya
Sifa zake ninaemhitaji;
Awe mrefu ila asinipite
Umri 19- 24
Awe mwembamba
Awe bikra
Itapendeza akiwa mweupe
Elimu yoyote
Awe Muislam
Bikra za K mremboRudia andiko Kwa utulivu, bikla unaitaj za maskio au Malindaπ
Wapo wanaojitunza sio Kila mmoja malayaYaani unatafuta bikra kwa watoto wa 2000?
Mkuu hauko serious
Akikujibu nitag
Hapo umba wakoBikra za K mrembo
Wapo wanaojitunza usikariri na Wala usijipe moyo kwakua weww sio selead na haujaolewa ukajua wote malayaHapo umba wako
Ni sawa ila utaambiwa kwenye 100 ni watatu tu wenye nazo..Wapo wanaojitunza sio Kila mmoja malaya
πππ naona umeamua kupiga kwenye mshono4mil kwa mwezi usingepata muda wa kugombania vocha za halotel na mimi.
Hao hao watatu ndio nawataka Kwa gharama yoyote Ile, maana ndio wenye ishara ya kujitunzaNi sawa ila utaambiwa kwenye 100 ni watatu tu wenye nazo..
Ndio maana nikataka BIKRAMkuu jitibu kwanza tatizo la nguvu za kiume ndipo uoe
π π π4mil kwa mwezi usingepata muda wa kugombania vocha za halotel na mimi.
Umri utakusuta.Ngoja tuone.Bro niliapa sitaoa mtumba uliotumiwa na watu wengine eti lije kupumzikia kwangu
Kiaje blohUmri utakusuta.Ngoja tuone.
Kwa umri wako unataka bikra,ila umri ukisogea utasema yote.Kiaje bloh
Kwani umri mdogo au mkubwa blohKwa umri wako unataka bikra,ila umri ukisogea utasema yote.
πππscrepaBro niliapa sitaoa mtumba uliotumiwa na watu wengine eti lije kupumzikia kwangu
Hakikisha na ww ni og.Bro niliapa sitaoa mtumba uliotumiwa na watu wengine eti lije kupumzikia kwangu