Tumbili in town
JF-Expert Member
- Jun 20, 2025
- 340
- 501
Typing error ila naamini imeelewekaAndika kwa utulivu yani sifa zako binafsi alafu unasema awe muislam!!
Hongera sanaAwe bikra
Hamna wanaume BIKRA , sijui kama umeelewa mremboUnataka bikra mitandaoni vwewe ni bikra?View attachment 3387804
Bro niliapa sitaoa mtumba uliotumiwa na watu wengine eti lije kupumzikia kwanguHongera sana
Ilikua enzi hizoo4mil kwa mwezi usingepata muda wa kugombania vocha za halotel na mimi.
Nimesikitika sana! Yani unamuita mpenzi wa mama yako mrembo?Hamna wanaume BIKRA , sijui kama umeelewa mrembo
ushajitibu tatizo lako la nguvu za kiume? utakuja chapiwa bure tafuta suluhisho la kudumu kwanza ndiyo ufikirie kuhusu ndoa.Ni wakati sasa wa kuoa nimeona nitoe taarifa na humu oengine wapi au kuna watu mnawajua wenye sifa hizo nili hatimae na mimi nipate mke.
Sifa zangu;
Mrefu wa wastan na mwembamba
Awe muislam
Businessman (apex. 4 mil/month)
Umri 26 years
Elimu; Form six
Location ; Mbeya
Sifa zake ninaemhitaji;
Awe mrefu ila asinipite
Umri 19- 24
Awe mwembamba
Awe bikra
Itapendeza akiwa mweupe
Elimu yoyote
Awe Muislam
Cc Bantu Lady4mil kwa mwezi usingepata muda wa kugombania vocha za halotel na mimi.
Mwambie mama yako alete kisambusa chake ndio utamjua nani anaemkazaNjoo naleo utukaze na mama yangu
Asante, sio lazima awe humu pengine wanajuana akanionganishiaKila lakheri Ila hapa JF wengi wanachezea 35+50 ukikosa jaribu na Facebook
Ndio maana nimeamua kuoa bikra ili kuepusha mambo mengiushajitibu tatizo lako la nguvu za kiume? utakuja chapiwa bure tafuta suluhisho la kudumu kwanza ndiyo ufikirie kuhusu ndoa.