Natafuta Binti/Mwanamke wa Kuoa

Kanisani, kazini, kwenye usafiri, mtaani huko kote umeshindwa kukutana na bint? Kama una gari jaribu kupanda dala dala kwa mwezi mmoja kwenda na kurudi kazini unaweza kukutana na mwenza huko.
Haya mambo bana ni shida mi tulikutana na mume wangu nikiwa navuka barabara kuelekea kazin.alisimama nivuke then kikaeleweka till today such a good human being.So omba then sio utegemee mitandao maana utashindwa kuchagua bure upate koroma.angalia sehem zingine bt hapa fanya 20% tu.goodluck
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom