Natafuta beach hotel nzuri in Dsm

muhinda

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
348
235
Habari za weekend wanajamii.

Naombeni msaada wenu katika hili;
Natafuta hotel ya kupumzika na mpenzi wangu weekend.
Napendelea maeneo ya Beach especially in DSM. Our budget is 150$ per night
Sehemu iwe quite with good food.

Natumaini nitapata michango mingi na yenye kuvutia.
asanteni
 
nimejaribu kugoogle nimeona sunrise resort, je kuna mtu anaweza kuizungumzia sunrise?
 
endelea kugogole!

nashukuru kwa ushauri. ila napendelea kupata mtu atakae recommend something good and romantic kutokana na experience yake. cause i know kwenye internet watu wanawekaga picha za kuvutia lakini in reality unakuta sehemu sivyo ulivyotarajia.
 
Beach ya nini wewe, njoo Mbagala rangi tatu kwa vinega huku tule bata!
 
Duh! Naona washkaji wamekutosa Live, au wanakuonea wivu nini? Mie niko huku nyasurura, ingekuwa ni maeneo ya huku ningekupa sapoti. Goodluck dho, najua utapata
 
Mediteraneo Hotel ni nzuri iko beach kule barabara ya Mbezi Beach ya chini. iko eneo tulivu na inavutia. utapata vyakula tofauti (talking about Italian cuisines and wines and Mediterranean specialities).
 
Mediteraneo Hotel ni nzuri iko beach kule barabara ya Mbezi Beach ya chini. iko eneo tulivu na inavutia. utapata vyakula tofauti (talking about Italian cuisines and wines and Mediterranean specialities).

Yaaah, hapo ni pazuri sana....hata kunduchi beach hotel ni pazuri pia,nice ocean view..na makila kitu yake yako poa...$144 per night kitu kama hicho..Nenda ukapate tulizo bro!
 
Back
Top Bottom