Natafuta battery hii ya laptop

Pionaire

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
1,595
Reaction score
1,135
Habari wanaJF!!!

Nafafuta battery original/Genuine ya laptop(kama inayokuja na PC)...au isipopatikana hiyo sio mbaya ata Replacement yake(Grade ya kwanza) yenye uwezo wa kukaa na chaji Masaa matatu Hadi manne ya matumizi.

Laptop Brand&Model: HP ProBook 450-G1

Battery Details/Sifa za betri husika.​
TYPE: Lithium ion
MODEL: FP06
CAPACITY: 47 Wh.
OUTPUT-VOLTAGE: 10.8V
NUMBER OF CELLS: 6-Cells​

Tafadhali, Itakuwa vyema Kwa mwenye kufahamu mahali napoweza pata hiyo battery anieleze na bei yake, asanteni.





 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…