Nashukuru kwa kunifungua macho mkuu,internet ndio sababu ya mimi kuinunua mkuu. Ngoja nizoee, nilikua nimezoea nokia yangu ya tochi chaji siku nne hadi tano, hapa nikaona nimeingizwa mjini, nilitaka niwafuate wale dealers wa Samsung walioniuzia nikapachimbe japo kidogo lakini sasa nimeahirisha