Kuna jamaa ni rafiki yangu nilisoma nae anawafuga wengi sana hapo kilimanjaro mwanga niliwasiliana kama anawauza akasema yeye anayo order kutoka Kenya tu..Usikate tamaa endelea kutafutaNipo Dar ila popote walipo wanaweza kufuatwa mkuu haina shaka kabisa.
Ni pm ndugu wapo mwanza hapa
Bata hawa ninao wengi sana na wana wiki 2 tangu kuanguliwa. Nitaanza kuwauza watakapofikisha miezi mi3!