C CHRISTURKER JF-Expert Member Joined Nov 24, 2012 Posts 267 Reaction score 55 Dec 19, 2012 #1 Nataka kufanya biashara ya kuuuza vinywaji moto na baridi morogoro mjini.Kama kuna anayejua existing bar inayokodishwa ili nianzie hapo, anijuze tafadhali hapa au PM
Nataka kufanya biashara ya kuuuza vinywaji moto na baridi morogoro mjini.Kama kuna anayejua existing bar inayokodishwa ili nianzie hapo, anijuze tafadhali hapa au PM
Mabreka JF-Expert Member Joined Aug 29, 2012 Posts 709 Reaction score 209 Dec 20, 2012 #2 Nenda msamvu nyuma ya mabanda yanayozunguka stendi ya dodoma kuna baa ilikuwa inakodishwa, Jina silikumbuki, ila imeezekwa kwa makuti
Nenda msamvu nyuma ya mabanda yanayozunguka stendi ya dodoma kuna baa ilikuwa inakodishwa, Jina silikumbuki, ila imeezekwa kwa makuti
C CHRISTURKER JF-Expert Member Joined Nov 24, 2012 Posts 267 Reaction score 55 Dec 21, 2012 Thread starter #3 Mabreka said: Nenda msamvu nyuma ya mabanda yanayozunguka stendi ya dodoma kuna baa ilikuwa inakodishwa, Jina silikumbuki, ila imeezekwa kwa makuti Click to expand... Asante kaka, naelekea huko
Mabreka said: Nenda msamvu nyuma ya mabanda yanayozunguka stendi ya dodoma kuna baa ilikuwa inakodishwa, Jina silikumbuki, ila imeezekwa kwa makuti Click to expand... Asante kaka, naelekea huko
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,265 Reaction score 17,135 Dec 21, 2012 #4 CHRISTURKER said: Asante kaka, naelekea huko Click to expand... Utujulishe matokeo