K Keben JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 725 Reaction score 178 Sep 15, 2014 #1 Habari zenu wana jf , niko Mwanza natafuta bajaji au toyo. Contact 0719103278.
moto2012 JF-Expert Member Joined Jul 3, 2012 Posts 2,309 Reaction score 1,552 Sep 15, 2014 #2 Mpya au used. Na unashingapi?
M Mwera JF-Expert Member Joined Oct 26, 2010 Posts 964 Reaction score 91 Sep 15, 2014 #3 unashiling ngapi mkuu. ipo toyo namba c ya mzigo
K Keben JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 725 Reaction score 178 Sep 15, 2014 Thread starter #4 Nahitaji used. Nina 2m
Lazarus JF-Expert Member Joined Jan 17, 2012 Posts 364 Reaction score 94 Sep 15, 2014 #5 Bajaj una shngap na kama itapatikana dar usafiri itakuwaje