Natafuta bajaj tvs used hapa Dar

Natafuta bajaj tvs used hapa Dar

IPILIMO

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,819
Reaction score
802
Jamani mwenye kujua nitapateje bajaj aina ya tvs iliyo nzima , inafanya kazi, bodi zima na isiyo na deni TRA.
Bajeti yangu ni 1.5m. Tarehe hitaji ni 13 may 2015.

Bajaj itafanya kazi Dodoma

Je unayo? Fanya pm tujadili
 
Ugonjwa wa moyo ndio unaoutafuta, hapo hakuna bajaji ni fuvu hilo
 
Back
Top Bottom