Ududu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 1,020
- 556
Wadau mwenye baiskeli yenye hali nzuri naihitaji kwa ajili ya dogo kuendea shule kwani mambo yangu sio mazuri kwa sasa kuweza kununua mpya.
Iwe na gia kwani huko ni eneo la milimani. Mimi nipo Dar [Ubungo] na dogo yupo Dodoma [Jamatini] hivyo anayetoka maeneo hayo mawili tuko tayari kuja kuiangalia muda wowote.