Baggage Wrapping Machine ni mashine itumikayo airports kuzungushia mizigo ya ku-check in kwa kutumia nylon ili mwizi imuwie vigumu kufungua mzigo na kuiba.
Kama unaweza kunilengesha sehemu naweza kununua hiyo machine please do so with zero hesitation.