Natafuta baba watoto

YUPO MWANAUME WA KWELI MAKONDA ATAKUPA MIMBA USIJALI ICPOPATIKANA KAWAIDA ATA CHINA MTAENDA
 
Kama utakuwa tayari tukawa katika mahusiano kwa mkataba wa mwaka mmoja na endapo tutautendea haki mkataba wetu tunaweza kuongeza tena,ila sitakuwa tayari kwa mahusiano ya hadi kifo,karibu
 
Nimekuja fasta nikifikiri post ni ya Leo, kumbe ya miaka nenda rudi? Kama bado hujapata mimi nipo hapa, nina miaka 60 , retired but not tired![emojiq12]
 
Kama Gazeti hilo ni Alasiri au Dar Leo yanatoka saa9 saa kumi na moja Giza likiingia kwisha habari yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…