Natafuta baba watoto


Tatizo unafanya umri kua issue. Wadogo zako wanaweza kukulea vilele.
 
Kumekuchaa kumechaa...
 
atakaekuwa wa kwanza kunitafuta nitamfikiria zaidi labda tushindwane tu ndo nitatafuta mwingine
we hujatujua sie vidume... huwa hatujalishi tangazo lako ila muhimu weka mezani tuone mzigo upoje tujitose.. usije tuuzia ...la misumari bureeee nan anataka mishida ya ainahii.. WEKA VITU MEZANI TUONE MZIGO VIDUME TUGOMBANIEEEEEE
 
Sasa umri wa miaka 40+ awe hajawahi kuoa!?? Kwa hiyo sisi tuliotalikiana unatuhukumu..!!?? Ondoa hilo sharti me nije tuyajenge. Lkn unavutia!?? Maana km huvutii inabidi uwe mtamu sana!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…