kwa hiyo unatafuta mtu akuoe na atunze na mtoto au uzae mtoto umpe tu alafu we uendelee na mambo mengne
Hivi tanzania kuna sheria za adoption?
Zinasemaje
nimpe tu mtoto
nimpe tu mtoto
ninaujauzito miez 8 mhusika kaukataa kwa madai kuwa anamchumba wake anampenda sana na hata muelewa akimwambia kama anamtoto kwani anajua hana. tena kaniambia nisimtafute kabisa na namba kabadilisha najua nimetenda dhambi na nawaza sana mtoto wangu inamaana hatakuwa na baba? binafsi sina uwezo wa kumtunza.
najua kuna watu hum wanatafuta watoto hawana kuliko kutoa mimba bora kwa atakae kuwa tayari kumtunza amchukue.
wapo watakao nishangaa kwa hili lakin kuliko kutoa mimba bora nimpe baba yoyote mwenye shida na mtoto asanten jaman
Subiri ujifungue kwanza alafu njoo na uzi mwingine...wenye mimba wengi akili zinakuwa nusu...
Unadhani kugawa mtoto ni rahisi...tuulize sie raha ya kuwa na wana...hapa niko tayari niuze maandazi lakini mwanangu simgawi hata kama anayemtaka ni Obama...
Wanaume 2badilike km m2 auna malengo nae mwambie kuliko kumualibia maisha yake
hebu 2fikili km lililompata huyu lingempata dada ako ungejiskiaje?
U cant be serious!!!! Umpe wotewote? Ina maana hautamuhitaji Tena? Kwani wewe ni mlemavu Wa viungo vyote huwezi kufanya kazi yoyote?